
Please help us raise funds for Stephano Obedi
Donation protected
Tunayo masikitiko makubwa kuwantangazia ndugu, jamaa na marafiki kifo cha ndugu yetu mpendwa na muimbaji wa nyimbo za injili STEFANO OBEDI Maarufu kama SAINT STEPHANIE.
Stefano alikua akihishi Iowa tangu mwaka 2018.Alizaliwa mnamo mwaka wa 1994 katika nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo RD Congo,Baadae wazazi wake walikimbia vita mnamo 1996 na kupokelewa kama wakimbizi katika kambi ya wakimbizi LUGUFU nchini Tanzania mkoani Kigoma .
Mnamo mwaka wa 2018 Stefano alihamia nchini Marekani,Stefano alikua na ndugu wa kiume wa 2 na kike 5 .Alikua ni muimbaji wa nyimbo za injili akishiriki katika kanisa la IPHC ( International pentecost Holiness church) iliyopo katika jimbo la iowa mji wa Iowa city ambayo baba yake Pastor OBEDI SWEDI ni mchungaji mkuu akishirikiana na mwenzake UNDJI MTENJI, Kanisa hilo lina makao yake makuu Minneapolis na Oklahoma .
Stefano alikua mfanyakazi wa DB SCHENKER kwa mda wa miaka zaidi ya tatu (3), Alikua ni mume na baba wa watoto wa wili (2) ambao pia wanaishi iowacity.
Stefano alimpenda Mungu na kumtumikia tangu alpookoka mnamo mwaka 2010 alipokua na umri wa miaka 16 ,Na ndiyo mwaka alianza uimbaji kabla ya kupata umaharufu alipohamia nchini Marekani.Familia ya Stefano inawaomba msaada ili kuweza kufanya mazishi ya ndugu yao .
We are very sad to announce the passing of our brother, father, friend, husband and gospel singer Stefano
Stefano resided in Iowa since 2018, he was only thirty years old. Stefano and his family lived in a refugee camp called Nyarugusu located in Tanzania before emigrating to the USA.
Stefano had five sisters and two brothers along with an amazing mother and father. Stefano was a gospel singer at IHP International Holiness Pentecostal church located in Iowa City. His father is one of the pastors along with Pastor Undji.
Stefano was working at DB Schenker for the past three years. He got married to his lovley bride in 202, he leaves behind a beautiful wife and two children who were also residing in Iowa City.
Stefano loved the Lord he gave his life to live a life that would make his Lord Jesus Christ happy daily.
Stefano started singing gospel in his mid teens, back in Tanzania. Stafano continued his love for gospel singing in the USA. He was known by his other name as Saint Stephanie. Saint Stephanie had a heavy presence on social media. He was on Youtube, Tiktok, Instagram, Facebook and many other platforms. He was followed by many around the world. He was invited to many churches throughout America to share his message of the gospel. His music was heard all over the world. If one Psalm describes Stefano it Would be Psalm 100: Make a joyful noise to the Lord.
Stefano loved his children with all his heart and he would wish nothing for them to have an amazing future. He wanted his children to have a life full of joy and wonder. He only dreamed of them growing up in a happy home. Stefano had just recently purchased a home in Iowa City. Now Stefano’s family along wife and children are left with a big loss at this moment. Stefano just had a new baby six months ago. The Stefano family is asking for any donation throughout this difficult period. Nobody is ever ready for loss, at this moment we are trying to figure out what to do next and where we do we go from here.
We want to give Stefano a beautiful service and let his family know that we are with them through all the pain they are going through, please keep the family, friends and all who love Stefano in your prayers. We are thankful at this time for the outpouring of love and support along with donations during these difficult times
Organizer and beneficiary
Boniface undji
Organizer
Iowa City, IA

Mmunda Obedi
Beneficiary