
FUNERAL EXPENSES FOR BROTHER SEIF AKIDA
Donation protected
Jumuiya ya Watanzania New York na Vitongoji vyake kwa majonzi makubwa inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York (NYTC) Mr. Seif Akida kilichotokea leo huko Washington D.C alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Mr. Akida amewahi kuwa Mwenyeketi wa NYTC, na alikuwa Mwenyekiti wa CCM tawi la New York. Mr. Seif Akida atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa kwenye Jumuiya Yetu ya NYTC kwa kujitoa kwake kwa hali na mali.
Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raajiuun.
Organizer
Hajji Khamis
Organizer
Brooklyn, NY