- M
- S
- L

George Sebo - Funeral
0% complete
$ 6590 ingezameld van $ 11K
64 donaties
Kwa niaba ya familia ya George Sebo na Chama cha Mapinduzi DMV, tunasikitika kutangaza kifo cha mwenykiti wa CCM DMV Mhe. George Sebo.
Taratibu za mazishi zinaendelea na tutawapa taarifa.
Kufarijiana ni mila yetu, tafadhali mpe taarifa mwingine.
Msiba uko 1801 St. Georges Way, Bowie, MD 20721.
unaweza kutoa pole kwa mke wa marehemu Mrs. Grace Mgaza Sebo (202) [telefoonnummer bewerkt]
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Amen

Organisator en begunstigde
Jessica Mushalla
Begunstigde