ERIC MAGAMBO FUNDRAISING
Donation protected
Ndugu zangu, watanzania wenzangu na marafiki wa Eric Magambo $5,000/= ni nyingi kwa namba lakini kwa wingi wetu tukigawana $25 kwa watu 200 tutaweza kufanikisha kufikia gharama za mwanasheria wa uhamiaji na kusaidia ndugu na rafiki yetu Eric awe uraiani na hatimae amalize hili swala, tafadhali kama umeguswa tunaomba mchango wako na hatimae uwezeshe kumsaidia mwenzetu.
TUNATANGULIZA SHUKURANI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Shaneisa Magambo [phone redacted]
Jabir Mudrika [phone redacted]
Prosper Magambo +255 [phone redacted]55
Idd Sandaly [phone redacted]
Dj Luke Joe [phone redacted]
Dany Kiondo [phone redacted]
Asanteni sana kwa msaada wako
TUNATANGULIZA SHUKURANI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Shaneisa Magambo [phone redacted]
Jabir Mudrika [phone redacted]
Prosper Magambo +255 [phone redacted]55
Idd Sandaly [phone redacted]
Dj Luke Joe [phone redacted]
Dany Kiondo [phone redacted]
Asanteni sana kwa msaada wako
Organizer and beneficiary
Luke Joe
Organizer
Hyattsville, MD
Shaneisa Magambo
Beneficiary