Main fundraiser photo

Mazishi ya James Hando

Donation protected
Familia ya Marehemu Mzee Hando inawataarifu kuwa tupo tayari kuchukua mwili wa Baba yetu na kuuzika Tar 14/07/2018 Kwa bahati mbaya Baba alikuwa hafanyi kazi na hakua na Life Insurance, hivyo sasa hivi tupo kwenye harakati za kutafuta hela za kukamilisha mazishi yake. Tumepata *FUNERAL HOME* yenye unafuu, isiyopungua $ *8000* kwa full service. Watanzania wenzetu tunawaomba kushirikiana nasi kwa njia moja au nyingine ili tuweze kufanikisha kuulaza mwili wa marehemu katika nyumba ya milele .Asanteni sana Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe .**Amen*
Donate

Donations 

  • Gerald Hando
    • $100 
    • 6 yrs
Donate

Organizer and beneficiary

Gloria Alex
Organizer
Burlington, NC
Scolla Tayn
Beneficiary

Your easy, powerful, and trusted home for help

  • Easy

    Donate quickly and easily.

  • Powerful

    Send help right to the people and causes you care about.

  • Trusted

    Your donation is protected by the  GoFundMe Giving Guarantee.